SHIRIKI KWENYE ZAWADI ZA

Vigezo na Masharti:

1.WASHIRIKI WOTE LAZIMA NA KUJIUNGA ILI KUSHIRIKI KATIKA OFA YA KOMBE LA DUNIA. Ili kushiriki, washiriki wanahitaji kujiunga katika ofa kwa kutumia namba ya utambulisho wa account (ID namba). Weka iliyo yako kwa usahihi!
2.Ofa itafanyika kuanzia Novemba 19 hadi Desemba 18.
3.Odds za chini kabisa kwa kila bet ni 3.00.
4.Kiasi cha chini kwa kila bet ni TSH 3000.
5.Dau lazima ziwe kwenye matukio ya Michezo pekee. Madau kwenye Kasino na Michezo ya Mtandaoni (virtual) hazistahiki kwa ofa hii.
6.Washiriki wanaweza kufuatilia kibinafsi pointi zao au kuangalia jedwali la washindi.
7.Mfumo wa pointi unategemea jumla ya kiasi cha tiketi za mshiriki, ambayo lazima iwe si chini ya 3000 TSH. Tiketi ya TSH 3000 inakupa pointi 3. Kwa mfano, mchezaji aliweka tiketi na 5000 TSH, ambayo inampa pointi 5. Kila tiketi mpya zaidi ya 3000 TSH itahesabiwa kwa pointi nakuleta jumla yake..
8.Washindi wataamuliwa na droo ya bahati nasibu.
9.Zawadi moja tu kwa kila mshindi kwa kila droo.
10.Ofa hii inapatikana kwa washiriki wote wa GSB nchini Tanzania.
11.Kushiriki katika ofa hii unakubali kuchapishwa picha yako na zawadi kwa madhumuni ya matangazo au promosheni ya GSB.
12.Ofa hii inaweza kusimamishwa wakati wowote kwa hiari ya kampuni.
13.GSB ina haki ya kurekebisha masharti ya ofa, kughairi au kusasisha ofa, au kukataa kushiriki wakati wowote bila taarifa ya awali.
14.GSB inahifadhi haki ya kukagua rekodi za miamala na kumbukumbu za wateja kwa sababu yoyote ile. Iwapo baada ya ukaguzi kama huo, inaonekana kwamba mteja anashiriki katika mkakati ambao GSB kwa uamuzi wake pekee inadhani kuwa si sawa, GSB inahifadhi haki ya kubatilisha haki ya wateja kama hao kwa ofa na kughairi ushindi wao.
15.Vigezo na masharti yetu yote muhimu ya michezo ya kubashiri yatatumika.