Washiriki wote lazima wajiandikishe ili kuingia kwenye ofa.
Mshiriki anajiandikisha kwa OFA hii kwa kutumia ID namba yake.
Ni jukumu la Mshiriki kuhakikisha kuwa ID namba yake (Kitambulisho cha Mshiriki) anachoingiza ni sahihi. ID namba isiyo sahihi haitatambulika.
Usajili wa ofa unahitaji kufanywa mara moja pekee wakati wa OFA na unaweza kufanywa wakati wowote. Hata hivyo, Mshiriki atasajiliwa TU kwenye ofa mara tu atakapokuwa amejiandikisha.
Kwa kujiandikisha kwa ofa, unathibitisha kuwa umesoma na kukubaliana na Vigezo na masharti vyote ya ofa hii.