Shinda simu kila

Ligi ya Mabingwa!

Vigezo na Masharti ya Kujisajili kwenye Ofa hii.

  • Washiriki wote lazima wajiandikishe ili kuingia kwenye ofa.
  • Mshiriki anajiandikisha kwa OFA hii kwa kutumia ID namba yake.
  • Ni jukumu la Mshiriki kuhakikisha kuwa ID namba yake (Kitambulisho cha Mshiriki) anachoingiza ni sahihi. ID namba isiyo sahihi haitatambulika.
  • Usajili wa ofa unahitaji kufanywa mara moja pekee wakati wa OFA na unaweza kufanywa wakati wowote. Hata hivyo, Mshiriki atasajiliwa TU kwenye ofa mara tu atakapokuwa amejiandikisha.
  • Kwa kujiandikisha kwa ofa, unathibitisha kuwa umesoma na kukubaliana na Vigezo na masharti vyote ya ofa hii.