Masharti ya kupata bonasi:
(a) Kiasi cha kwanza cha chini kuweka ni TSH 1000 na kiwango cha juu ni TSH 1, 000,000
(b) Mteja anatakiwa kubashiri mara 3 kwa kiwango sawa na kiasi alichoweka mara ya kwanza
(c) Kiwango cha chini ni mechi 3 kwa kila mkeka..
(d) Kiwango cha chini cha kuweka ni TSH 1000
(e) Kima cha chini cha 0dds ni 1.3
(f) Kiwango cha chini cha Jumla odds ni 3
Bonasi ya ukaribisho itawekwa moja kwa moja katika akaunti ya mteja.
Mfano:
– Nimeweka TSH 1,000 kwa mara ya kwanza.
– Nimebashir mara 3 kwa kiasi cha TSH 1000 kwa kila mkeka usiopungua mechi 3 na jumla odds ya 3 na zaidi.
– Nimepokea TSH 1,000 Free Bet kama bonasi ya ukaribiho katika akaunti yangu.