Outright Jackpot

Bashiri Washindi na Ushinde hadi TSH 500,000

Weka dau lako kuanzia 2000 THS kwa GSB na ujaribu kushinda hadi TSH 500,000 kwa ubashiri wako wa Outright Jackpot

Bashiri timu mbili kutoka kila kundi zitakazofuzu kwa Raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia la FIFA.

Outright Jackpot - Bashiri Washindi na Ushinde hadi 500 000 THS

Weka mkeka wako kuanzia TSH 2000 kwa GSB na ushinde hadi 500,000 TSH kwa ubashiri wako wa Outright Jackpot.

Vigezo na Masharti:

 1. Ili kushiriki katika Outright Jackpot, watumiaji wanahitaji kutandika mkeka wao na kujaza namba ya simu ambayo anaitumia pamoja na ID ya mkeka
 2. Ofa itafanyika kuanzia Novemba 13 hadi Novemba 20 kabla ya kuanza mechi ya kwanza.
 3. Jumla ya kiasi cha Jackpot ni 500,000 TSH
 4. Kiwango cha chini cha Dau la mkeka ili kushiriki ni TSH 2,000 katika kipindi cha ofa.
 5. Bet lazima ziwe kwenye matukio ya Michezo pekee. Bet za Casino na Virtual hazistahiki kwa ofa hii.
 6. Washindi watapatikana kutokana na kuweka bashiri zao kwa Usahihi.
 7. Zawadi ya Jackpot hii hugawanywa na idadi ya washindi.
 8. Bonasi itawekwa kama FreeBet.
 9. Ofa hii yanapatikana kwa watumiaji wote wa Galsport Betting nchini Tanzania.
 10. FreeBet hutumika kama dau moja tu.
 11. Masharti ya FreeBet:

 Chaguzi 3

Kiwango cha chini cha ODDS kwa kila uteuzi: 1.5

Uhalali wa Bonasi: Siku 3

Bonasi moja kwa kila mtumiaji

 1. FreeBet hii haiwezi kutumika pamoja na ofa nyingine yoyote ya FreeBet kutoka kwa Gal Sports Betting.
 2. Ikiwa mchezaji anayepokea FreeBet hastahiki, FreeBet itaghairiwa na Kuondolewa katika account yake.
 3. Kushiriki katika OFA hii unakubali kuchapishwa picha yako na zawadi kwa madhumuni ya Promosheni ya GSB.
 4. Ofa hii inaweza kusimamishwa wakati wowote kwa hiari ya kampuni.
 5. GSB ina haki ya kurekebisha masharti ya ofa, kughairi au kusasisha ofa, au kukataa kushiriki wakati wowote bila taarifa ya awali.
 6. GSB inahifadhi haki ya kukagua rekodi za miamala na kumbukumbu za wateja kwa sababu yoyote ile. Iwapo baada ya ukaguzi kama huo, inaonekana kwamba mteja anashiriki katika mkakati ambao GSB kwa uamuzi wake pekee inadhani kuwa si sawa, GSB inahifadhi haki ya kubatilisha haki ya wateja kama hao kwa ofa na kughairi ushindi wao.
 7. T&C zetu zote zinazohusika zinatumika.